Wikiendi ya EPL, Mechi Kali, Na Fursa ya Ushindi Meridianbet

Mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye burudani ya kipekee wikiendi hii, ambapo vita ya alama tatu inashika kasi kwenye viwanja mbalimbali vya ligi kuu Uingereza. Kwa wale wanaotafuta faida kupitia bashiri, huu ndio wakati wa kuingia Meridianbet na kusuka mkeka wenye ushindi kupitia odds kabambe zinazopatikana mtandaoni. Gtech Community Stadium itashuhudia mchezo wa mapema. Brentford watakuwa…

Read More

Gianni Infantino Asimama Na Amani, Ataka Ulimwengu Kuwaunganisha Watu Kupitia Kandanda

Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Gianni Infantino, ametoa wito wa amani duniani, akisisitiza haja ya kulinda utu wa binadamu hasa kwa watoto na kina mama wanaoteseka kutokana na vita na migogoro. Akizungumza katika mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) jijini New York, Infantino alisema: “Sote tunajua kwamba tunaishi katika ulimwengu uliogawanyika, ulimwengu mkali,…

Read More

FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC

FT: Wiliete SC 0-3 Yanga SC Mchezo umekamilika Yanga SC ikiwa ugenini ikipata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Wiliete. Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Aziz Andambilwe dakika ya 31, Edmund John dakika ya 71 na Prince Dube dakika ya 79. Dakika ya 88 nahodha wa Wiliete anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota…

Read More