LIGI YA MABINGWA ULAYA YARUDI KWA UBABE!
Mechi za ligi ya Mabingwa Ulaya siku ya leo zinatarajiwa kuendelea kwa mechi kali za pesa. Barcelona, City, Galatasaray na wengine wanakusubiri usuke jamvi lako la ushindi. Ingia sasa kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi sasa. Kutoka kule Ujerumani, Eintracht Frankfurt watakipiga dhidi ya Galatasaray ya kule Uturuki ambao ndio mabingwa wa…