HII HAPA RATIBA YA PREMIER LEAGUE

NI Jumamosi ya kazikazi Aprili 26 2025 kuna mechi kali ambazo zinatarajiwa kuchezwa ndani ya Premier League kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Miongoni mwa timu hizo ikiwa ni wiki ya 34 ni Chelsea ambayo ipo nafasi ya sita kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 57 itakuwa kazini kumenyana na Everton iliyo nafasi ya…

Read More

SERIKALI INA MATUMAINI KWA SIMBA SC KIMATAIFA

NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma amebainisha kuwa ana matumaini ya kuona Simba SC inapatata matokeo mazuri kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Afrika Kusini, Aprili 27 2025. Simba SC inakumbuka kwamba mchezo uliochezwa Tanzania ilipata ushindi wa bao 1-0 likifungwa na Jean Ahoua inakibarua cha kusaka ushindi wa…

Read More

SIMBA KAMILI KIMATAIFA, TAMBO ZATAWALA

SIMBA SC itakuwa kibaruani kusaka ushindi dhidi ya Stellenbosch FC ni mchezo wa nusu fainali ya wababe wawili 2024/25 kimataifa wakiwa na rekodi yakumfungashia virago bingwa mtetezi kwenye mashindano ya kimataifa kwa nyakati tofauti. Aprili 20 2025 mchezo huo unatarajiwa kuchezwa uwanja wa New Amaan Complex huku Simba SC ya Tanzania ikiwa na rekodi yakumfangashia…

Read More

SIMBA HESABU ZAKE KWA MKAPA KIMATAIFA

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika wameweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa pili wa robo fainali dhidi ya Al Masry unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kuwa kwenye mchezo wa robo fainali ya kwanza iliyochezwa Aprili 2 2025 Uwanja wa Suez Canal…

Read More

SIMBA YAPOTEZA UGENINI ANGA LA KIMATAIFA

ROBO fainali ya kwanza Al Masry 2-0 Simba ukiwa ni mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali, Uwanja wa Suez Canal. Abderrahim Deghmoum alianza kupachika bao la uongozi dakika ya 15 kwa shuti kali akiwa nje ya 18 likimshinda Moussa Camara na kamba ya pili ni mali ya John Okeyo dakika ya…

Read More

KIKWAZO KWENYE MERSEYSIDE DERBY HIKI HAPA

KOCHA Mkuu wa Liverpool, Arne Slot ameweka wazi kuwa mchezo wao wa Merseyside Derby lazima wapambane kupata ushindi huku kikwazo kikitajwa kuwa ni David Moyes ambaye ni Kocha Mkuu wa Everton kwenye mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Anfield. Huu ni mchezo wa Ligi Kuu England ambapo vinara hao wa ligi wakiwa na pointi 70 baada…

Read More

AL AHLY NA PYRAMIDS ZIMEANZA HATUA ROBO FAINALI YA LIGI YA MABINGWA KWA USHINDI

Miamba ya Nchini Misri, Al Ahly na Pyramids zimeanza hatua robo fainali ya Ligi ya Mabingwa kwa ushindi huku Maharamia wa Afrika Kusini, Orlando Pirates wakiilaza MC Alger ya Algeria ugenini. FT Pyramids πŸ‡ͺπŸ‡¬ 4-1 πŸ‡²πŸ‡¦ FAR Rabat ⚽ 02’ Mayele ⚽ 12’ Mayele ⚽ 39’ Adel ⚽ 67’ Adel ⚽ 45’ Hadraf FT Al…

Read More