WINGA HUYU WA KAZI AWEKWA RADA ZA YANGA
IMEELEZWA kuwa mabosi wa Yanga wanamtazama kwa ukaribu kiungo wa ASEC Mimosas ya Ivory Coast, Aziz Ki ili waweze kupata saini yake. Nyota huyo pia anatajwa kuingia kwenye rada za Simba ambao nao pia wanahitaji kumpata kwa ajili ya msimu mpya. Nyota huyo ni raia wa Burkina Faso aliweza kufanya vizuri akiwa na timu yake…