
MORRISON AANZA KUPIGA TIZI KWA SIRI
HABARI njema kwa mashabiki wa Yanga, kuwa kiungo wao mshambuliaji Mghana, Bernard Morrison ameanza mazoezi ya binafsi ya siri kimyakimya. Mghana huyo yupo nje ya uwanja kwa miezi miwili akiuguza maumivu ya nyonga ambayo aliyapata mara baada ya kurejea nchini akitokea kwao Ghana alipokwenda kwa ajili ya matatizo binafsi. Staa huyo ameachwa katika msafara wa…