
AZIZ KI NA GUEDE NI HABARI NYINGINE HUKO YANGA/UBINGWA WANUKIA
MIAMBA wawli ndani ya kikosi cha Yanga, Aziz KI na Joseph Guede ni habari nyngine kutokana na kasi yao ndani ya uwanja kwenye kucheka na nyavu msimu wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Aziz KI ni namba moja akiwa na mabao 15 kibindoni Guede katupia mabao matano