
SIMBA WANAPAMBANIA HALI YAO KWA SASA
MSIMU wa 2023/24 unaingia kwenye orodha ya msimu ambao Simba inapitia magumu kutokana na mwendo wake kutokuwa bora ndani ya uwanja katika mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara. Kwa upande wa rekodi kwa timu na namba binafsi kwa wachezaji wanaotimiza majukumu kikosi cha Simba kwa hivi karibuni haujawa kwenye ubora ambao ulikuwa unatarajiwa…