Monday, May 6, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7772 POSTS 0 COMMENTS

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE CHAMPIONI JUMATANO

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano

VIDEO:JEMBE:SIMBA HAWAJAFA KIUME/YANGA YENYE AZIZ NA WAPINZANI

0
LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amezungumzia kuhusu Simba kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa hatua...

SABABU MECHI S.B.S V YANGA/AZAM V SIMBA KUSOGEZWA MBELE

0
KWENYE mechi za Kombe la Azam Sports Federation hatua ya nusu fainali ratiba zimezogezwa mbele kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka...

TANZANIA PRISONS KUBORESHA NGUVU USHAMBULIAJI

0
KOCHA Mkuu wa Tanzania Prisons, Abdalah Mohamed,'Bares' amesema kuwa watafanya kazi kubwa kuiboresha safu ya ushambuliaji ili kufunga mabao mengi zaidi. Prisons ipo nafasi ya...

HUYU HAPA KOCHA MPYA AZAM FC

0
NI Youssouph Dabo ametambulishwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Azam FC msimu ujao, 2023/24. Dabo, raia wa Senegal, amesaini mkataba wa miaka mitatu kuwa ndani...

KIUNGO RIVERS UNITED AKUBALI KUTUA YANGA

0
KIUNGO Rivers United akubali kutua Yanga, Simba wabadili gia ndani ya Spoti Xtra Jumanne

MTAMBO WA MABAO YANGA WATOA NENO

0
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa kazi kubwa ni kusaka ushindi katika mechi...

SIMBA NDANI YA RUANGWA, LEGEN MKUDE NDANI

0
JONAS Mkude ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo kwenye msafara ulipo Ruangwa,Lindi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya...

KIMATAIFA YANGA MMEFANYA KAZI KUBWA, SIMBA PIA

0
HAKIKA ni wakati mzuri kwa Yanga kutokana na kile ambacho walikuwa wanapigia hesabu kujibu kwa wakati. Kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano makubwa Afrika...

SIMBA:TULIKUWA NA UBORA WA KUCHEZA NUSU FAINALI CAF

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa hawana mpango wa kutafuta mchawi ni nani bali wanachukua somo ili wkwenda hatua zinazofuata

YANGA KWENYE MASHINDANO MATATU MAKUBWA

0
BAADA ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Klabu ya Yanga inakuwa kwenye mashindano makubwa inayoshiriki. Chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi...

HADITHI YA SIMBA KILA WAKATI ROBO FAINALI NDEFU,IFIKE MWISHO

0
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa Simba mbio zao zimegote hatua ya robo fainali baada ya kufungashiwa virago na mabingwa watetezi Wydad Casablanca. Wakati...

SISI NDIO YANGAAA, SIMBA YACHORA RAMANI KUIVURUGIA YANGA

0
SISI ndio Yangaaa,Simba yachora ramani kuivurugia Yanga ubingwa ndani ya Championi Jumatatu

YANGA HAO NUSU FAINALI KIMATAIFA CAF

0
YANGA inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imeandika historia bora ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Faida ya mabao ya ugenini...

LIVERPOOL YASHINDA USIKU KWELI

0
JURGEN Klopp Kocha Mkuu wa Liverpool ameshuhudia vijana wake wakivuja jasho dakika 90 mbele ya Spurs. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Anfield...

YANGA 0-0 RIVERS UNITED, (YANGA 2-0 RIVERS)

0
UBAO wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 0-0 Rivers United ikiwa ni mapumziko kwa sasa. Huu ni mchezo wa pili wa hatua ya robo fainali...

MAN U YASEPA NA POINTI TATU KUBWA

0
MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ten Hag imesepa na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Aston Villa. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford...