Sunday, May 19, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7873 POSTS 0 COMMENTS

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne

YANGA KAMILI KUIVAA MARUMO KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa maandalizi ya kuwakabili wapinzani wao Marumo Gallants yanakwenda sawa. Kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi tayari...

SABABU YA RUVU SHOOTING KUSHUKA DARAJA HII HAPA

0
KOCHA Mkuu wa Ruvu Shooting, Mbwana Makata amesema kuwa miongoni mwa sababu ambazo zimefanya timu hiyo kushindwa kubaki ndani ya ligi ni pamoja na...

MAKOCHA SIMBA YANGA WALIPANA KWA VITENDO

0
ROBERTO Oliveira raia wa Brazil ambaye anainoa Simba na Nasreddine Nabi raia wa Tunisia ambaye anainoa Yanga wamelipana kwa vitendo ndani ya dakika 90...

BRIGHTON WAWAPIGA WASHIKA BUNDUKI

0
BRIGHTON hawana kazi ndogo palepale wakiwa ugenini wamemtungua Arsenal na kusepa na pointi tatu mazima mbele ya washika bunduki. Ni Julio Enciso dakika ya 51,...

NABI ATAJA MASHINE 5 KUIMALIZA MARUMO,CHAMA ATOA KAULI

0
NABI ataja mashine 5 za kuwaua Marumo, Robertinho akabidhiwa faili la beki kisiki ndani ya Championi Jumatatu

ISHU YA DUBE KUIBUKIA SIMBA IPO HIVI

0
UONGOZI wa Azam FC Umesema hautakubali kufanya makosa ya kuwaachia mastaa muhimu waondoke bure baada ya mikataba yao kumalizika wakikumbuka ya msimu wa mwaka...

SAKHO NA NYAVU NDANI YA LIGI KUU BARA

0
PAPE Sakho ndani ya Ligi Kuu Bara katupia mabao 9 msimu wa 2022/23 aligotea kwenye mabao hayo dhidi ya Ruvu Shooting, Uwanja wa Azam...

VIDEO:VITUKO VYA MASTAA YANGA BAADA YA UBINGWA

0
YANGA wametangazwa kuwa mabingwa wa 29 ndani ya Ligi Kuu Bara, vituko vya mastaa wa Yanga noma sana

VIDEO:AZIZ KI NYOTA WA YANGA KUHUSU UBINGWA

0
KIUNGO wa Yanga, Aziz KI amesema kuwa anafurahi kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na uwezo wake wa kuona wanapata ushindi kwenye mechi ambazo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE SPOTI XTRA JUMAPILI

0
Muonekano wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili

YANGA BINGWA TENA

0
BAADA ya kupata ushindi leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara rasmi Yanga wanakuwa ni mabingwa wa NBC Premier League. Unakuwa ni ubingwa wa 29...

KOCHA JULIO KAANZA MIKWARA

0
KOCHA Mkuu wa KMC, Jamhuri Kihwelo, 'Julio' ameanza mikwara kwa kubainisha kuwa kinachotazamwa kwenye ligi ni namna ya kumaliza. Mbele ya Singida Big Stars inayonolewa...

ISHU YA CHAMA KUONDOKA SIMBA IPO HIVI

0
WAKATI taarifa zikizagaa kuwa mwamba wa Lusaka, kiungo wa Simba Clatous Chama ameomba kuondoka hofu imeondolewa na uongozi wa timu hiyo. Kwenye msimamo Simba ipo...

TAJIRI AWAPA MAYELE, AZIZ KI MAMILIONI,USAJILI MPYA SIMBA

0
TAJIRI awapa Mayele,Aziz KI mamilioni,usajili wa mpya Simba kufuru ndani ya Championi Jumamosi

SIMBA YAICHAPA RUVU SHOOTIMG, YASHUKA DARAJA

0
KLABU ya Ruvu Shooting imeshuka daraja rasmi kutoka Ligi Kuu Bara hadi Championship (Ligi Daraja la Kwanza) msimu ujao baada ya kichapo cha mabao...

AZAM FC HESABU ZAO KWA NAMUNGO, NGOMA YAPELEKWA MBELE

0
MABOSI wa Dar, Azam FC wameanza hesabu kuelekea mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Huo ni mchezo wa mzunguko wa pili...