Friday, May 3, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7756 POSTS 0 COMMENTS

MWAMBA HUYU MBEYA CITY MKALI WA NYAVU

0
UKIFIKA Mbeya usisahu ukarimu wa watu wale na namna wanavyojivunia uoto wa asili hakika kàtika hili wanastahili pongezi. Wanasema kàtika orodha ya marafiki ulionao usisahau...

NGOMA NZITO UEFA

0
NGOMA imekuwa ngumu kwa wababe wote wawili kusepa na ushindi katika mchezo wa UEFA Champions League. Ubao wa Uwanja wa Santiago Bernabeu umesoma Real Madrid...

KIUNGO MGUMU SIMBA LAZIMA ABADILIKE

0
KIUNGO Kanoute lazima akubali kubadilika kutokana na mikato yake ya kimyakimya kuigharimu timu yake kila mara. Miongoni mwa wachezaji imara na bora wawapo uwanjani kwenye...

KIBOKO YA AIR MANULA NI MOTO WA KUOTEA MBALI

0
MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC, Prince Dube kahusika kwenye mabao 10 ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kali Ongala. Dube kampa tabu pia...

HAWATAAMINI WASAUZI,SIMBA YAMALIZANA NA STRAIKA WA MABAO

0
HAWATAAMINI Wasauzi, Robertinho amalizana na straika wa mabao ndani ya Championi Jumatano

NABI:MARUMO SIO TIMU MBAYA TUPO TAYARI KUWAKABILI

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ameweka wazi kuwa wapinzani wao Marumo Gallants atakaokutana nao kwenye hatua ya nusu fainali sio wabaya ni timu...

EVERTON YATEMBEZA MKONO HUKO

0
WANABAKI na pointi zao zilezile 55 baada ya kucheza mechi 33 ndani ya Ligi Kuu England ni Brighton ambao wamepokea kichapo wakiwa nyumbani. Ubao wa...

NI USIKU MWINGINE WA KAZI KWA SIMBA

0
BAADA ya kumaliza mwendo kwenye kuwania Kombe la Azam Sports Federation sasa nguvu za Simba ni kwenye mechi za ligi. Ni usiku mwingine kwa kazi...

VIDEO:YANGA YAWAKARIBISHA MARUMO,HESABU ZIPO HIVI

0
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa wachezaji wamejiandaa kikamilifu kuikabili Marumo Gallants ya Afrika Kusini huku akibainisha kuwa wapinzani wao ni...

YANGA KAMILI KUIKABILI GALLATS

0
ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya nusu fainali. Ni...

SIMBA NDANI YA DAR,HESABU ZIPO HIVI

0
KIKOSI cha Simba chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kimerejea salama salmin Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara. Timu hiyo...

PANGA ZITO LAPITA SIMBA, BEKI LA CAF LASAINI YANGA

0
PANGA zito lapita Simba, beki la CAF lasaini miaka mitatu Yanga ndani ya Spoti Xtra Jumanne

ILIKUWA KAZIKAZI AZAM FC V SIMBA NANGWANDA

0
HAMNA namna ilikuwa ni lazima mshindani apatikane ndani ya dakika 90 kila shabiki anarejea na alichokivuna kutoka kwa timu yake. Wale wa Simba ni safari...

KOCHA ONGALA KAWAZIDI SIMBA NJE NDANI

0
MBINU za Kali Ongala muda wote zimekuwa ngumu dhidi ya Simba wanapokutana ndani ya dakika 90. Ongala dhidi ya Yanga alikwama kusepa na pointi mzunguko...

MUDA HAUSUBIRI KAZI LAZIMA IENDELEE

0
MUDA hausubiri na kila mmoja anapambana kusaka ushindi kwenye mechi ambazo anacheza hilo ni jambo la muhimu kwa kila timu. Wachezaji wanajituma na kufanya kazi...

MDAKA MISHALE KAWAKIMBIZA KINOMANOMA

0
DJIGUI Diarra, kipa namba moja wa Yanga amewakimbiza wapinzani wake wote kwenye kucheza mechi nyingi bila kufungwa ndani ya Ligi Kuu Bara. Anapambania tuzo yake...

VYUMA VITATU VYA YANGA, CHAMA KAGAWANYIKA SIMBA

0
VYUMA vitatu vya Nabi,Msauzi hachomoki, Chama kagawanyika vipandevipande Simba ndani ya Championi Jumatatu