Saturday, April 20, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7656 POSTS 0 COMMENTS

VIDEO:KIBU ANAIBEBA SIMBA, JEMBE AFUNGUKA MPANGO MZIMA

0
KIBU Dennis kiungo wa Simba bao lake dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa linatajwa kuwa moja ya bao lake bora ambalo amefunga msimu huu...

VIDEO:JEMBE AMCHAMBUA BEKI WA KAZI BAKARI MWAMNYETO

0
MKONGWE kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kwenye anga la kitaifa na kimataifa, Saleh Jembe amezungumzia uwezo wa nyota wa Yanga...

KAZI BADO IPO KWENYE LIGI, HAKUNA KUKATA TAMAA

0
KUKATA tamaa kwenye mechi za mzunguko wa pili kwa wachezaji wa timu ambazo zimekwama kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao iwe ni mwiko. Bado kuna...

YANGA HAWATAKI UTANI, KAZI IMEANZA MAPEMA

0
BAADA ya Yanga kukamilisha kete ya kwanza ugenini, wawakilishi wa Tanzania kwenye anga la kimataifa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wamerejea Bongo. Kwenye mchezo huo...

SIMBA HESABU ZAO KWA WYDAD

0
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa robo fainali ya pili dhidi ya...

MAYELE AITIKISA AFRIKA AINGIA VITA NA BALEKE

0
Mayele aitikisa Afrika, Baleke,Mayele waingia vitani ñdani ya Spoti Xtra Jumanne

KIPA SIMBA AWEKA REKODI YAKE MATATA

0
ALLY Salim kipa namba tatu wa Simba ameonesha uimara wake akiwa langoni ndani ya dakika 270 kwa kuyeyusha dakika zote hizo bila kutunguliwa hata...

YANGA HAWAJARIDHIKA KABISA NA WALICHOPATA KIMATAIFA

0
NASREDDINE Nabi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa hawajaridhika na kuongoza kundi katika hatua ya Kombe la Shirikisho Afrika bali wanahitaji kusonga mbele mpaka...

COASTAL UNION YASEPA NA POINTI TATU NA MBUZI MNYAMA

0
TAWI la Coastal Union la 'Obama Camp' la Mabokweni Tanga, limetoa zawadi ya mbuzi mmoja kuwapongeza vijana wao kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi...

MAYELE ANA BALAA NA NYAVU HUYO

0
FISTON Mayele amefikisha jumla ya mabao 50 katika mashindano yote akiwa na kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Timu hiyo yenye maskani...

Shangwe Kubwa La Bodaboda Lasababishwa Na Meridianbet

0
Shangwe shangwe shangwe tu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar es salaam baada ya bodaboda kufikiwa na Meridianbet na kupatiwa reflectors ambazo...

JASHO LILIWAVUJA SIMBA DHIDI YA WYDAD

0
ILIKUWA roho ya mnyama kwenye ardhi ya Bongo wakati wakipambana na mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad Casablanca. Weka kando kutokuwepo kwa kipa...

BEKI YANGA AWEKA REKODI YAKE KIMATAIFA

0
BEKI mzawa Bakari Mwamnyeto kwenye anga la kimataifa ana pasi mbili kàtika Kombe la Shirikisho Afrika. Pasi zote mbili alitoa akitumia mguu wa kulia nchini...

KIMATAIFA KAZI BADO HAIJAGOTA MWISHO

0
SIO utani kwenye kusaka ushindi kimataifa kazi ni ngumu ndani ya dakika zote 180 licha ya kuwa kila timu kufanya maandalizi mazuri. Uwanja wa Mkapa,...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

0
Nyienyie bado kwa Mkapa ujue, Baleke atoa kauli ya kutisha ndani ya Championi Jumatatu

VIDEO:MO AFUNGUKIA ISHU YA USHINDI DHIDI YA WYDAD

0
MO afunguka ishu ya ushindi dhidi ya Wydad

YANGA YAFANYA KWELI KIMATAIFA, YAICHAPA RIVERS UNITED

0
UKIWA ni mchezo wa kwanza hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho, ushindi unarejeja Tanzania. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Godswill Akpabio...