Mechi 6 za Namungo FC 2026/27, wanaanza na Yanga SC
Namungo FC wana mechi 6 kali ambazo ni dakika 540 za mwanzo ndani ya NBC Premier League na watafungua pazia kwa kusaka pointi 3 muhimu dhidi ya Yanga SC, Uwanja wa Majaliwa, Agosti 15. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda ilimaliza msimu wa 2025/26 ikiwa nafasi ya 10 ilikusanya pointi 34 baada ya…