Kila Raundi Inaweza Kubadili Maisha Yako Ndani ya Meridianbet

Burudani ya kasino imeingia hatua mpya baada ya Meridianbet kuanzisha Mystery Multiplier Drop, promosheni inayowapa wachezaji nafasi ya kupata ushindi wa kushangaza kila wanaposhiriki moja ya michezo ya Wazdan. Hii ni promosheni inayofanya kila raundi iwe na thamani zaidi kuliko kawaida. Baada ya kujiunga na promosheni, kila dau linalostahili linaweza kukupatia Mystery Multiplier kwa bahati…

Read More

Dinamo Zagreb Watafuta Faida ya Nyumbani Dhidi ya Kauno Žalgiris Kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya

Olympiacos watawapokea wageni kutoka Uholanzi, NEC Nijmegen, Jumanne, Agosti 4, 2026, saa tatu usiku (21:00), katika mchezo wa kwanza wa raundi ya tatu ya kufuzu Champions League. Mchezo huu utafanyika katika uwanja wa Stadio Georgios Karaiskakis, jijini Piraeus, Ugiriki. Mchezo wa marudiano utafanyika Agosti 11 katika uwanja wa Goffertstadion huko Nijmegen, na mshindi wa jumla…

Read More

Mashindano ya Spin for Glory Yaleta Ushindi Meridianbet

Hakuna hisia zinazofanana na kuona jina lako likipanda kwenye msimamo huku ukisogea karibu na ushindi mkubwa. Ndiyo burudani ambayo Meridianbet imewaletea kupitia mashindano mapya ya Spin for Glory, yakihusisha sloti bora kutoka Endorphina na Games Global. Kila sloti unayocheza inakuwa tiketi ya kupambana na wachezaji wengine wanaotafuta nafasi ya kutwaa zawadi kubwa. Mashindano haya yanahitaji…

Read More

Video: Hersi Awataka Wanachama wa Yanga Kuvunja Makundi Baada ya Uchaguzi, Watano Wachaguliwa

Wanachama wa Yanga wamewachagua wajumbe watano wapya wa Kamati ya Utendaji katika Mkutano Mkuu wa klabu hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa SuperDome, Masaki jijini Dar es Salaam. Waliochaguliwa kushika nafasi hizo ni Yanga Makaga, Alex Ngai, Julius Koyi, Munir Said na Fahd Afif, baada ya kuibuka washindi katika uchaguzi uliofanyika wakati wa mkutano huo. Uchaguzi…

Read More

Mechi 14, Dau Dogo, Zawadi Hadi Bilioni 2, Jackpot Mpya ya Meridianbet Yaanza

Katika zile Jackpot ambazo unazijua basi kuna hii ya Meridianbet ambayo ni Diamond Jackpot ya Bilioni 2. Kwa Jero tuu unaweza ukabashiri mechi zako 14 na ukajiweka kwenye washindi. Kwenye ukuaji wa Sayansi na Teknolojia mambo mengi yamerahisishwa sana ikiwemo kubashiri ukiwa na siku yako Ndipo wakali wa ubashiri Meridianbet wakaamua sasa waje na Jackpot…

Read More

Mpango wa Infantino wa Uwekezaji FIFA Wagonga Mwamba Baada ya Upinzani Mkali

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, amepata pigo kubwa kisiasa baada ya mpango wake wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ya kusimamia haki za mashindano ya FIFA, ikiwemo Kombe la Dunia, kushindikana kufuatia upinzani mkali kutoka kwa wadau mbalimbali wa soka duniani. Katika taarifa iliyotolewa Ijumaa, FIFA ilithibitisha kuwa imeondoa rasmi pendekezo hilo baada ya kuzua mgawanyiko…

Read More

Infantino Akabiliwa na Shinikizo Kubwa la Kuondoka FIFA Baada ya Mpango wa Kuuza Hisa Kushindwa

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, anakabiliwa na shinikizo kubwa la kisiasa ndani ya soka la dunia kufuatia kushindwa kwa mpango wake wa kuanzisha kampuni ya kibiashara ambayo ingeuza sehemu ya hisa za mashindano ya FIFA kwa wawekezaji binafsi. Mpango huo ulizua upinzani mkubwa kutoka kwa mashirikisho mbalimbali ya soka duniani, huku UEFA ikiongoza upinzani huo…

Read More

Kubashiri Sasa Kuna Faida Zaidi, Pata 100% Cash Back

Je unajua sikuhizi kubashiri kuna faida nyingi sana?. Mojawapo ni kurejeshewa pesa yako kwa 100% ambapo ukifata masharti na vigezo vya Meridianbet. Tengeneza jamvi lako leo na uwe mshindi. Meridianbet inawafahamisha wateja wake kuhusu promosheni maalum ya 100% Cash Back ambayo inalenga kuwapa wachezaji fursa ya kupata thamani zaidi wanaposhiriki katika michezo teule ya kubashiri….

Read More

Expanse Mega Cash Race Yafika Meridianbet, Shindano la TZS 6,000,000 Kwa Wapenzi wa Sloti

Burudani ya kasino imepanda kiwango Meridianbet baada ya kuzinduliwa rasmi kwa Expanse Mega Cash Race, promosheni mpya inayowapa mashabiki wa sloti nafasi ya kushindania zawadi yenye thamani ya TZS 6,000,000. Hizi ni mbio za ushindi zinazowakutanisha wachezaji kutoka sehemu mbalimbali, kila mmoja akipambana kupanda nafasi na kujihakikishia sehemu ya kitita hicho kikubwa. Kama unapenda ushindani…

Read More