Vita vya Zombi Vaanza! Meridianbet Yaja na Zombie Apocalypse
Mzuka mpya umeingia kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni baada ya Meridianbet kuwaletea wachezaji wake mchezo wa Zombie Apocalypse unaokuja na burudani ya aina yake. Mchezo huu umebeba kila kitu ambacho mchezaji anahitaji; msisimko, changamoto na nafasi ya kushinda zawadi kubwa. Kupitia ushirikiano wake na Expanse Studios, Meridianbet imeleta mchezo wenye ubunifu wa hali ya juu…