Jumamosi hii kitaenda kuwaka vilivyo kule ligi kuu ya Hispania LALIGA ambapo itapigwa mechi ya pesa kati ya Atletico Madrid vs FC Barcelona. Hii ni mechi ambayo itakupatia pesa ukitulia na Meridianbet.
Atletico Madrid vs FC Barcelona ni mechi ambayo inasubiriwa kwa hamu sana Wikendi hii ambapo kila timu inahitaji ushindi kwenye mtanange huu wa leo. Vijana wa Diego Simeone wanakutana dhidi ya Barca ambao wako kileleni kwenye msimamo wa ligi huku wao wakiwa nafasi ya 4.
Barcelona huenda wataendelea kuwakosa wachezaji wao kama Balde, Kounde, De Jong na Raphinha ambaye amepata majeraha hivi karibuni yatakayomuweka nje kwa wiki kadhaa. Kwa upande wa Atletico wao wamejipanga vyema kuwakabili vijana hawa wa Flick huku nafasi ya kuondoka na ushindi pale Meridianbet akipewa Barca. Je wewe unampa nani nafasi ya ushindi?. Ingia na ubashiri hapa.
Shinda pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Atletico huenda pia watawakosa Oblak, Mendoza, Cardoso, na wengine, lakini wana kikosi kikubwa chenye wachezaji kama Alvarez, Lookman ambaye ni ingizo jipya, Coke, Giuliano, Griezman na wengine wengi ambao wapo tayari kuipambania timu yao kuhakikisha wanaondoka na ushindi hapo nyumbani.
Licha ya kuwakosa wachezaji hao, Barca bado wana wachezaji kama Lamine, Lewandowski, Lopez, Pedri na wengine ambao kwa pamoja wanatazamwa zaidi na mashabiki zaidi ya Maelfu kujua watafanya nini kwenye mechi hii muhimu kwani kudondosha pointi unampa nafasi mpinzani wako kukaa kileleni.
Hii mechi pia itaangazia pia mechi inayofuata ambayo wanakutana kwenye Ligi ya Mabingwa yaani UEFA, kwani wamepangwa kwenye Kundi moja hatua ya Robo Fainali. Je nani kuondoka na ushindi pale Civitas Metropolitano?. ODDS KUBWA zipo hapa.
Uingereza kuna mechi pia ya kibabe ya FA CUP hatua ya Robo Fainali kati ya Manchester City dhidi ya Liverpool mabingwa watetezi wa ligi kuu ya Uingereza yaani EPL. Lakini kwenye ligi hawa wawili wamepishana pointi 12 hadi sasa huku timu zote zikiwa kwenye kuwania mbio za kumaliza nafasi ya 4.
Ni moja ya mechi kali sana ambayo inawakutanisha kati ya City vs Liver ambapo kila timu hutaka kuonesha ubabe mbele ya mwenzake huku kwenye mechi 5 za mwisho walipokutana Man City kashinda 2 na Liver kashinda 2 huku wakitoa sare moja.
Mechi hii mara nyingi huwa ni ya kuvutia kabisa kwani ambapo Pep Guardiola na vijana wake wametoka kushinda kwenye mechi yao ya EFL iliyopita hivyo hii ni mechi ambayo wanaitazama kwa jicho lingine. Liverpool wao wamekuwa na matatizo kadhaa ikiwa ni pamoja na kupoteza mechi za ugenini mara nyingi hivyo hiii ni tahadhari kwao.
Slot na vijana wake wanahitaji kufanya juu chini ili waweze kushinda kwenye mechi hii waweze kusonga mbele kwenye hatua inayofuata lakini pia uwepo wa wachezaji kama Szobzslai, Frimpong, Mac Allister, Kerkez, Ekitike na wengine kibao ambao wanaweza kuamua mechi muda wowote.
Kwa upande wa Manchester City uwepo wa Foden, Doku, Cherki unawapa nafasi wao kufanya vizuri kwenye michuano hii huku nafasi ya kuondoka na ushindi kule Meridianbet akipewa City. Je unadhani Jogoo wa Anfield atakubali kupoteza mechi hii?. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako hapa.
Hawa wawili nafasi ya wao kushinda EPL ni ngumu kutokana na fomu zao kwenye ligi, lakini kwa Guardiola na wachezaji wake pia kwenye UEFA hawapo huku kwa Liver wao wapo kwenye hatua ya Robo Fainali na wamepangwa kucheza dhidi ya PSG ya kule Ufaransa.
Je kwenye Robo Fainali hii ya FA CUP nani ataondoka na ushindi?. Je Arne Slot au ni Pep na wachezaji wake?. Jisajili hapa.