Simba SC: Mpanzu bado ana mkataba

UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa mchezaji Ellie Mpanzu bado ana mkataba na Simba SC ambao hajaanza kuutumikia na ule wa awali haujaisha hivyo hawezi kugoma kwa kudai stahiki zake. Tetesi zimekuwa zikieleza kuwa Mpanzu amegoma kucheza Simba SC mpaka alipwe stahiki zake za mkataba mpya wa miaka miwili aliyoongeza hivi karibuni. Hakuwa kwenye kikosi…

Read More

Mbeya City wapindua meza mbele ya KMC FC

MBEYA City hawataki utani baada ya kupindua meza kibabe mbele ya KMC FC katika mchezo wa NBC Premier League, Aprili 3, 2026, Uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Manyara. Licha ya KMC FC kuanza kufunga magoli kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa walikwama kulinda ushindi huo na mwisho ubao ukasoma Mbeya City 3-2 KMC FC wakipishana…

Read More

Hii hapa ratiba ya NBC Premier League leo

LEO Aprili 4 NBC Premier League burudani inaendelea zikipigwa mechi tatu kubwa kwa wababe kusaka pointi 3 muhimu uwanjani. Aprili 4, 2026 Mashujaa FC vs Pamba Jiji Lake Tanganyika, saa 10:00 jioni Mashujaa FC kwenye msimamo ipo nafasi ya 11 na pointi zake ni 19 inawakaribisha Pamba Jiji FC walio nafasi ya 5 na pointi…

Read More