Nado aandika rekodi yake kwenye kiporo
IDD Seleman Nado nyota wa Azam FC amenadika rekodi yake kwenye mchezo wa kiporo dhidi ya Singid Black Stars kwa kukoleza moto uliofanya kiporo kisichache. Kiungo huyo alihusika kwenye magoli yote mawili yaliyofungwa na timu hiyo ambayo ipo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi msimu wa 2025/26 baada ya kucheza jumla ya mechi 16…