Mbappe Afunga Mawili, Ufaransa Yaichapa Senegal 3-1
Nahodha wa Ufaransa, Kylian Mbappe, amefunga mabao mawili na kuiongoza timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Senegal katika mchezo wa Kundi I wa Kombe la Dunia uliochezwa mjini East Rutherford, Marekani. Nyota huyo wa Real Madrid aliendelea kuandika historia baada ya kufikisha mabao 14 katika Kombe la Dunia, akibakiwa na mabao…