Germany's defender #15 Nico Schlotterbeck celebrates after scoring his team's second goal during the 2026 World Cup Group E football match between Germany and Curacao at the Houston Stadium in Houston on June 14, 2026. (Photo by RONALDO SCHEMIDT / AFP)
TIMU ya taifa ya Ujerumani imeichapa jumla ya magoli 7-1 Curacao kwenye mchezo wa hatua ya makundi FIFA Kombe la Dunia 2026.
Haya ni matokeo rasmi ukiwa ni ushindi mkubwa kwenye mashindano haya makubwa ndani ya 2026 huku mabingwa watetezi wakiwa ni Argentina yenye Lionel Messi iliyotwaa taji hilo 2022 nchini Qatar.
Magoli ya Ujerumani yamefungwa na Felix Nmecha dakika ya 6, Nico dakika ya 38, Havertz alifunga mawili dakika ya 45 kwa penati na dakika ya 88, Jamal Musiala dakika ya 47, Nathaniel Brown dakika ya 68, Deniz Undav dakika ya 78.
Goli pekee la Curacao limefungwa na Livano Comenencia dakika ya 21. Timu hizi zipo kundi E, vinara ni Ujerumani wakiwa na pointi 3 kibindoni.
…
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo na Moyo Wangu Unavuja Damu. Kuvipata TUNAOMBA ODA 0756 028 371.
Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo ni simulizi inayozungumzia maisha ya Kiafrika, usaliti, visa, furaha. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Kigamboni kwa Tupokigwe, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM. Kuna kazi mpya inaandaliwa inaitwa Msichana wa Maisha Yangu, jiandae kuipata.