Dah! Simba SC yaishangaa Pamba Jiji FC kupanda ndege
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa haujui wapinzani wao Pamba Jiji FC wamepata wapi nauli ya kupanda ndege kutokana na uwezo walionao jambo ambalo limeongeza ushindani mkubwa. Juni 14,2026 ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Simba SC 2-1 Pamba Jiji FC, Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema…