Mexico Yaianza Kombe la Dunia kwa Ushindi wa Mabao 2-0 Dhidi ya Afrika Kusini
MEXICO CITY – Mwenyeji mwenza wa Kombe la Dunia 2026, Mexico, ameanza vyema kampeni yake ya michuano hiyo baada ya kuichapa Afrika Kusini mabao 2-0 katika mechi ya ufunguzi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Estadio Azteca usiku wa Alhamisi. Julian Quinones aliandika historia kwa kufunga bao la kwanza la Kombe la Dunia 2026 dakika ya tisa…