Simba SC 2-1 Pamba Jiji FC, Gueye Man of The Match
Simba SC 2-1 Pamba Jiji FC, Gueye Man of The Match ni baada yakuvuna pointi 3 muhimu katika mchezo wa NBC Premier League, Uwanja wa KMC Complex, Juni 14, 2026. Magoli ya Simba SC yalifungwa na Ellie Mpanzu dakika ya 7 na Libase Gueye dakika ya 64 katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa. Goli…