THANK YOU YA KWANZA KWA KOCHA BONGO

SINGIDA Fountain Gate imeweka wazi kuwa Hans Pluijm hataendelea kuwa kwenye benchi la ufundi msimu wa 2023/24. Pluijm amepewa mkono asante Agosti 29 ndani ya timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa sasa timu hiyo ya Singida Fountain Gate itakuwa chini ya Mathias Lule ambaye ni kocha msaidizi. Mchezo wa…

Read More

MUDA ULIOBAKI KWA USAJILI UTUMIKE KWA UMAKINI

HAKUNA marefu yasiyo na ncha ipo hivyo na ukweli hauwezi kuwekwa kando kwa namna yoyote lazima utakutana nao. Sio Yanga, Simba hata Singida Fountain Gate ni muhimu kukamilisha utaratibu kwa wakati na umakini mkubwa. Tumeona wapo makocha ambao wameanza na timu kwa mwendo wa kusuasua wana nafasi ya kufanya maboresho kwa wakati ujao. Kwa wakati…

Read More

YANGA MWENDO WA 5 G KWENYE LIGI

MWENDO wa 5G kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga kwa wapinzani wao unaendelea. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 5-0 JKT Tanzania. Kasi ya ufungaji kwa Yanga ilizidi kipindi cha pili yalipofungwa mabao manne na kipindi cha kwanza ilikuwa bao moja. Aziz KI alifungua pazia dakika…

Read More

KOCHA SIMBA APEWA DAKIKA 180

BAADA ya kukiongoza kikosi cha Simba kwenye mechi mbili za Ligi Kuu Bara kwa kukomba ushindi kwenye mechi zote mbili, Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amepewa dakika 180 za moto kimataifa. Mechi ambazo Oliveira alikiongoza kikosi cha Simba ilikuwa ugeini ubao wa Uwanja wa Manungu ulisoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba na alikamilisha dakika 180…

Read More

SHEREHE KWA YANGA KISA KUWAFUNGA ASAS INATOSHA

USHINDI wa kwanza, Yanga wakiwa (ugenini), walifanikiwa kushinda kwa mabao 2-0 na waliporejea wakawatwanga kwa mabao 5-1. Ushindi huo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, unaifanya Yanga kuvuka hadi hatua ya kwanza ikiwa inakwenda kukutana na El Merreikh ya Sudan. Mechi ya Yanga dhidi ya ASAS FC bila shaka haikuwa mechi ya…

Read More

AZAM FC YAIPIGA BAO YANGA KATIKA HILI

WAKATI Yanga wakiwa katika kampeni ya kukaa katika nafasi ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara, Azam FC wameanza kujibu mapigo kwa kuishusha Simba. Ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Tanzania Prisons umewaongezea pointi tatu na kuwafanya wafikishe pointi sita kibindoni. Mabao ya Prince Dube dakika ya 11, Idd Nado dakika ya 47 na…

Read More

GAMONDI KWENYE VIATU VYA NABI

TARATIBU Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameanza kuwa kwenye viatu vya Nasreddine Nabi kutokana na mbinu zake kuwa kwenye mrandano wa Nasreddine Nabi aliyewahi kuwa kocha wa Yanga. Nabi alikuwa imara kwenye mbinu za kubadili mchezo kwa kutumia wachezaji walioanza kusugua benchi na walipoingia waliwapa tabasamu mashabiki na wachezaji kiujumla. Ikumbukwe kwamba katika mchezo…

Read More

GAMONDI ATUMA UJUMBE HUU JKT TANZANIA

LICHA ya kwamba mchezo wa mwisho kabla ya JKT Tanzania kushuka daraja na Yanga kukomba pointi tatu bado mabingwa hao watetezi wameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani hao. Kwenye mchezo wa mwisho kukutana na Yanga ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga na mabao yalifungwa na Yacouba Songne na Tuisila Kisinda. Kesho Agosti 29 Yanga wanatarajiwa kumenyana…

Read More

PETER BANDA AKUTANA NA THANK YOU SIMBA

KIUGO Peter Banda hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24. Usajili wa nyota huyo ulileta mtikisiko ambapo alikuwa anatajwa kupokwa airport na watani zao wa jadi Yanga jambo ambalo lilizua gumzo. Mwisho Simba walimtambulisha ndani ya kikosi hicho na kuzima kele za watani wao wa jadi Yanga kushinda vita ya kuinasa saini ya…

Read More

CHUMA KIPYA SIMBA KINA BALAA HICHO

CHUMA kipya ndani ya kikosi cha Simba ni kiraka kutokana na kupanda na kushuka kwenye kutimiza majukumu yake ndani ya uwanja. Nyota huyo anatambua kwamba msimu wa 2022/23 ni Yanga walitwaa taji la Ligi Kuu Bara huku Simba wakigotea nafasi ya pili. Ikumbukwe kwamba Julai 9, Che Malone Fondoh ambaye ni beki raia wa Cameroon…

Read More

KIMATAIFA FANYENI KWELI KAZI BADO IPO

KUPEWA majukumu katika timu Bongo kwa wachezaji ni jambo muhimu kuzingatia na kila mmoja kufanya kwa wakati kile kinachotakiwa ndani ya uwanja. Kwenye mechi za kimataifa hapo nguvu kubwa zinahitajika mbali na uwekezaji na wachezaji nao wanapaswa kujituma bila kuogopa. Tumeshuhudia namna Singida Fountain Gate walivyopenya hatua inayofuata kwenye Kombe la Shirikisho kwa kupata upinzani…

Read More

PANGA LINAPITA KWA WASHIKA BUNDUKI HUKO

ARSENAL iko tayari kuwauza wachezaji tisa ili wapate fedha kwa ajili ya kumpa nguvu Kocha Mikel Arteta ya kushusha jembe lingine kikosini hapo. The Gunners wametumia mkwanja mkubwa msimu huu wa joto ili kushindana kusaka ubingwa wa Premier ambao msimu uliopita waliukosa dakika za mwisho mbele ya Manchester City. Arsenal wametoa pauni 105m kwa Declan…

Read More

BETO YA VIUNGO SIMBA NI PASUA KICHWA

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbrazili, Roberto Oliveira amefichua mpaka sasa hana presha yoyote juu ya safu yake ya kiungo kutokana na ubora mkubwa unaonyeshwa na viungo wake wa kati, Mzamiru Yassin na Fabrice Ngoma hali inayopelekea kupata ugumu wa chaguo la kwanza. Ikumbukwe kwamba Simba ilipishana na taji la ligi msimu wa 2022/23 liliobukia Jangwani…

Read More