
HUYU HAPA MFUNGAJI WA BAO LA SIMBA KIMATAIFA
BAO la kwanza kwenye anga za kimataifa kwa Simba hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa limefungwa Uganda. Ni Henock Inonga anafunga bao hilo dakika ya 19 akiwa ndani ya 18 kwenye harakati za kutimiza majukumu yake. Ni pasi ya Moses Phiri ameitumia beki huyo kuipa uongozi Simba dhidi ya Vipers. Moja ya mchezo wenye ushindani…