SIMBA NI MWENDO WA FULL PACKAGE
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umechukua muziki kamili wa benchi la ufundi ambalo litakuwa na kazi ya kuwanoa wachezaji wa timu hiyo Ipo wazi kuwa Novemba 5 baada ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-5 Yanga mambo yalibadilika kwenye benchi la ufundi, Roberto Oliveira aliyekuwa kocha mkuu alisitishiwa mkataba wake Novemba 7….