
HAKI MUHIMU KUZINGATIWA NDANI YA LIGI KUU BARA
KASI ya Ligi Kuu Tanzania Bara mzunguko wa kwanza imekuwa kubwa na kila timu inaonyesha ushindani wake ndani ya dakika 90 kusaka ushindi hili ni jambo kubwa na muhimu. Sio Singida Fountain Gate, Namungo wala Ihefu zote zinapambana kufanya kweli hata zile ambazo zimepanda msimu huu kutoka Championship ikiwa ni Mashujaa na JKT Tanzania. Kila…