
YANGA YAMPA MKATABA WA KUFURU LUIS MIQUISSONE
WAKATI Klabu ya Simba ikiendelea kupewa asilimia nyingi za kumrejesha winga wao wa zamani raia wa Msumbiji, Luis Miquissone, uongozi wa Yanga, umedaiwa kuvamia dili hilo na kutaka kumshusha mwamba huyo Jangwani. Luis aliachana na Simba Agosti 26, mwaka jana na kujiunga na timu ya Al Ahly ya Misri ambayo baadaye ilimtoa kwa mkopo katika…