
SIMBA KUMSHUSHA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI
IMEELEZWA kuwa Sh 800Mil alizoweka Rais wa Heshima wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ kwa ajili ya usajili, zimeanza na mshambuliaji wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini, Kwame Peprah, raia wa Ghana. Simba imekuwa kwenye mazungumzo ya muda mrefu na Mghana huyo ambaye inaelezwa mkataba wake unatarajiwa kumalizika mwishoni mwa msimu huu. Timu hiyo imepanga kukiimarisha…