
BAYERN WAZIDI KUMKOMALIA MANE
BAYERN Munich wanajiandaa kuwasilisha ofa ya pili ya dau la pauni milioni 30, kwa ajili ya kukamilisha usajili wa staa wa kimataifa wa Liverpool raia wa Senegal, Sadio Mane mara baada ya Liverpool kukataa ofa ya kwanza na sasa wanataka pauni milioni 42.5. Sportsmail limeripoti kuwa Liverpool ilitupilia mbali ofa ya kwanza ya Bayern ya…