
FAINALI YA MAPINDUZI UBABE TUPA KULE
HONGERA Kwa timu ambazo zimeweza kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi na kesho wanatarajiwa kuweza kucheza na kumpata mshindi. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji ushindi na ambaye atajipanga ana nafasi kubwa ya kuweza kutwaa Kombe la Mapinduzi ambalo ni heshima na litawafanya mashabiki aweze kufurahi. Mabingwa watetezi wao wamefungashiwa virago ambao ni…