Home Uncategorized VIDEO:KUMBE SIMBA WALIWAANDALIA YANGA MCHEZO MKUBWA

VIDEO:KUMBE SIMBA WALIWAANDALIA YANGA MCHEZO MKUBWA

AHMED Ally, Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa walicheza mchezo mkubwa mbele ya Namungo na wanaomba radhi kwa mchezo huo kwa kuwa waliandaa mchezo huo kwa ajili ya watani zao Yanga ambao wametolewa kwa kupoteza wa kufungwa penalti 9-8 baada ya dakika 90 kutoshana nguvu.

Ameongeza kuwa wanahitaji Kombe hilo na wanawatambua Azam FC lakini watachukua kombe hilo mapema kabisa.

Previous articleVIDEO:MASTAA YANGA WALEJEA DAR,SIMBA WAWAPOKEA
Next articleIKIWA NA MOHAMED SALAH, MISRI YAPIGWA AFCON