
MKWANJA WA SPORTPESA JACPOT BONUS WATOLEWA NI MREFU KWELI
MKAZI wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na kujishindia kiasi cha shilingi 11,049,185. Akizungumzia ushindi wake Juhudy amesema “Ninafuraha kubwa sana kuibuka mshindi kwani kupitia pesa hii itanisaidia kwenye mambo mbalimbali. “Nilianza kucheza na SportPesa tangu mwaka 2018…