
DAKIKA 45,SIMBA YACHEZEWA MPIRA,YACHAPWA KIMOKO
UWANJA wa Mashujaa, nchini Zambia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho, Red Arrows wanageuza dakika 45 wakiwa ni wababe kwa kuwa wameitungua timu hiyo bao 1-0. Kasi ya Red Arrows ilianza awali katika dakika 10 za mwanzo na kufanikiwa kupachika bao la kuongoza dakika ya 44. Ni shuti la mshambuliaji Eric Banda ambaye alitumia mpira…