KOCHA:SIMBA ITAFUNGWA NA YANGA

KOCHA Mkuu wa RS Berkane ya Morocco, Florent Ibenge, ameitabiria Yanga kuondoka na ushindi mbele ya Simba katika mchezo wa dabi ya Kariakoo utakaochezwa leo Jumamosi katika Uwanja wa Mkapa,Dar. Ibenge ambaye aliwahi kuwa Kocha Mkuu wa AS Vita na timu ya taifa ya DR Congo, analifahamu vyema soka laTanzania akiwa amewahi kukutana na Simba na Taifa Stars. Kocha huyo ndiye anayewafundisha viungo wa zamani wa timu hizo, Clatous Chama na…

Read More

YANGA YAWASHUSHA PRESHA MASHABIKI

MTENDAJI Mkuu wa Yanga, Senzo Mbatha, amewashusha presha mashabiki wa timu hiyo kuelekea kwenyemchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa leo Jumamosi, Uwanja wa Mkapa huku akiweka bayana wataibuka na pointi tatu. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa KariakooDabi ukiwa mchezo wa kwanza kukutana kwa msimu huu kwenye ligi. “Hakuna sababu ya kuwa na presha unajua mchezo wetu…

Read More

ALIYEWATUNGUA YANGA HAYUPO LEO

KUELEKEA kwenye mchezo wa Kariakoo, Dabi ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa leo,Desemba 11,2021 yule aliyewatungua Yanga hayupo kabisa kwenye mipango ya kocha. Kocha Mkuu wa Simba, Pablo Franco atakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Yanga huku akiwa na wachezaji wengine kabisa na atakosa huduma ya nyota wake anayeshikilia rekodi ya…

Read More

MWAMUZI WA SIMBA V YANGA LAZIMA JITU LIPIGWE

PILATO wa mchezo wa Desemba 11 ambao ni mchezo wa Kariakoo Dabi kati ya Simba v Yanga ni kiboko kwa kuwa kwenye mechi zote ambazo alihusika kwenye orodha ya waamuzi ilikuwa ni lazima jitu lipasuke. Kwa msimu wa 2021/22, Elly Sasii ambaye ameteuliwa kuwa mwamuzi wa kati ameweza kuwa kwenye orodha za waamuzi katika mechi…

Read More

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA DHIDI YA SIMBA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kwamba anahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo unaoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Leo ni Desemba 11,2021 saa 11:00 jioni mchezo huo unatarajiwa kuchezwa huku kete za Nabi zikitarajiwa kupangwa namna hii mbele ya Simba:- Diarra Djigui Djuma Shaban Dickson Job Kibwana Shomari Bakari Mwamnyeto Jesus…

Read More

HILI HAPA JESHI LA SIMBA LITAKALOANZA DHIDI YA YANGA

NI saa kwa sasa zinahesabika kabla ya mchezo wa Dabi kati ya Simba v Yanga kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Saa 11:00 jioni mchezo wa leo unatarajiwa kuchezwa ambapo timu zote zimeweka wazi kwamba zipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco inatarajiwa kuanza…

Read More

NTIBANZOKIZA AWATAMANI KWELI SIMBA KWA MKAPA

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ amesema kuwa anatamani kuanza katika mchezo unaofuata dhidi ya Simba huku akiweka wazi kuwa matarajio yake ni kuipa ushindi timu hiyo katika mchezo huo muhimu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Simba katika mchezo wa ligi kuu unatorajiwa kufanyika leo Desemba 11, mwaka huu katika Uwanja wa Mkapa, Dar. Mchezo…

Read More

PAMBA SC KUSHUSHA MAJEMBE YA KAZI

UONGOZI wa Pamba SC yenye maskani yake Mwanza umeweka wazi kwamba utaongeza majembe mapya ya kazi kwenye usajili wa dirisha dogo. Usajili wa dirisha dogo unatarajiwa kufunguliwa Desemba 15 kwa ajili ya timu kuweza kufanya usajili ili kuweza kuongeza nguvu kwenye timu zao. Kwa mujibu wa Katibu wa Pamba SC, Jonson James amesema kuwa watasajili…

Read More

SIMBA WAPIGWA MKWARA, WAAMBIWA WASUBIRI

KIUNGO mkabaji wa Yanga, Mganda, Khalid Aucho, amesema kuwa hataki kuuzungumzia mchezo wa Kariakoo Dabi na kikubwa yeye anataka kuonyesha ubora na uwezo wake uwanjani kesho Jumamosi.   Hiyo ni katika kuelekea mchezo ujao wa dabi utakaozikutanisha Simba na Yanga kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar. Mganda huyo alikuwa nje ya uwanja kwa wiki moja…

Read More

SIMBA: KUCHEZA NA YANGA KAMA TIMU YA DARAJA LA KWANZA

KUELEKEA katika mchezo wa Derby ya Kariakoo, Mwenyekiti wa Simba, Murtaza Mangungu, amefunguka kuwa kwa namna alivyowatazama Yanga, anaamini Simba itaibuka na ushindi wa mapema. Kesho Desemba 11,2021 Simba itakuwamwenyeji wa Yanga, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara katika Uwanja wa Mkapa, Dar.  Mangungu alisema kwenye mchezo wa kesho timu hiyoinaingia uwanjani kucheza mchezo wa ligi bila hofu kwani hawaitambui Yanga tena kama wapinzani wao hivyo wanaenda kucheza na timu kama zile za daraja la…

Read More

YANGA:SIMBA WEPESI TU

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Yusuph Athuman, amesema kuwa kama watafanikiwa kujitoa kwa moyo wote katika mchezo dhidi ya Simba, basi anaona wakipata ushindi katika mchezo huo. Yanga kesho Jumamosi wanatarajiwa kupambana na Simba kwenye mchezo wa ligi kuu katika Uwanja wa Mkapa.  Mshambuliaji huyo amesema kuwa anaiona mechi dhidi ya Simba ikiwa nyepesi kwao kama…

Read More

MUGALU NA LWANGA WAONDOLEWA KWENYE MIPANGO YA PABLO

RASMI Kocha Mkuu wa Simba, Mhispania, Franco Pablo, amemuondoa mshambuliaji Chris Mugalu na kiungomkabaji, Taddeo Lwanga katika mfumo wake kuelekea Kariakoo Dabi itakayowakutanisha Simba dhidi Yangakesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Nyota hao wote wapo nje ya uwanja kwa muda mrefu wakiuguza majeraha ya goti wote wawili. Mmoja wa mabosi kutoka ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo, ameliambia Championi Ijumaa kuwa wachezaji…

Read More

SENZO:HATUNA PRESHA NA SIMBA

SENZO Mbatha, Mtendaji Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba hawana presha na watani zao wa jadi Simba kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Desemba 11. Kesho mchezo huo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa unatarajiwa kuchezwa. Mbatha amesema kuwa wanatambua kuhusu mchezo huo kwa kuwa upo kwenye ratiba hivyo watafanya maandalizi mazuri ili…

Read More

MKWANJA WAWEKWA WA KUTOSHA KWA SIMBA KISA YANGA

SIMBA inatajwa kutangaza bonasi ya Sh 1Bil kuwapa wachezaji wao kama wakifanikiwa kuwafunga watani wao, Yanga katika Kariakoo Dabi. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu mabosi wa Yanga watangaze bonasi ya Sh 1Bil kama wakifanikiwa kuwafunga Simba katika dabi hiyo inayotarajiwa kupigwa Jumamosi hii saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam katika mchezo wa Ligi Kuu Bara. Taarifa zimeeleza kuwa Wadhamini wa timu…

Read More

HUYU HAPA ATAJWA KUWA MBADALA WA DIARRA YANGA

INASEMEKANA Yanga imemfuata rasmi kipa namba moja wa Mtibwa Sugar, Abuutwalib Mshery kwa ajili ya kumsajili katika dirisha dogo msimu huu kuwa mbadala sahihi wa Djigui Diarra. Wakati Yanga ikimfuata Mshery, ina mpango wa kuachana na kipa wake, Ramadhani Kabwili ambaye msimu huu amekuwa hana nafasi. Mmoja wa mabosi wa Yanga, ameliambia Spoti Xtra kuwa, Yanga imepanga kumsajili kipa mzawa mwenye uwezo na uzoefu wa ligi atakayekuwa mbadala wa Diarra anayetarajiwa…

Read More