
BAO LA MK 14 LAMFANYA KOCHA AZUNGUMZE KIZUNGU
BAO la mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere lililowapoteza Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara lilimfanya Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hemed Morocco kuzungumza kizungu kuonesha msisitizo kwamba waliumia kupoteza mchezo huo. Mara baada ya mchezo kukamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Namungo, wachezaji wote wa Namungo juzi walianguka chini…