YANGA NI MWENDO WA KAZIKAZI
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mechi za kitaifa na kimataifa malengo ikiwa ni kufanya vizuri kutokana na uimara wa wachezaji wao. Yanga kwenye dirisha dogo la usajili ilitambulisha wachezaji wapya watatu ambao ni Agustino Okra, Shekhan Ibrahim na Joseph Guede. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kwenye kila mashindano ambayo…