CHAMPIONI IJUMAA KUNA ISHU YA CHAMA NA IBENGE
JEURI ya pesa, tajiri aandaa kufuru Yanga,Ibenge afunguka kumuweka benchi Chama ndani ya Championi Ijumaa, ukurasa wa mbele nakala yake ipo mtaani ni 800
JEURI ya pesa, tajiri aandaa kufuru Yanga,Ibenge afunguka kumuweka benchi Chama ndani ya Championi Ijumaa, ukurasa wa mbele nakala yake ipo mtaani ni 800
IKIWA uwanja wa Mkapa leo Novemba 11, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imepoteza kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya DRC Congo. Ilikuwa ni katika kuwania kufuzu Kombe la Dunia ambapo Stars ilikuwa inapambana kupata pointi tatu sawa na DRC Congo. Kipindi cha kwanza umakini kwa safu ya ushambuliaji ya Stars inayoongozwa na Mbwana…
PABLO Franco, raia wa Hispania leo Novemba 11,2021 anatarajiwa kuwa miongoni mwa watakaoshuhudia mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya Timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya DR Congo. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa saa 10:00 jiono huku timu zote mbili hesabu kubwa ikiwa ni katika kupata ushindi ili kuweza…
Nahodha wa zamani wa klabu ya Liverpool na timu ya taifa ya England, Steven Gerrard, leo Novemba 11, 2021 ametangazwa rasmi kuwa Meneja mpya wa Aston Villa. Gerrard (41) ambaye alikuwa kocha wa Klabu ya Glasgow Rangers tangu 2018 anachukua, nafasi ya Dean Smith aliyefutwa kazi siku ya Jumapili.
MAKIPA wengi kazi yao ni kuzuia michomo kuingia ndani ya lango ila wamekuwa pia na mchango kwenye miguso ya mwisho inayosababisha kupatikana kwa ushindi kwa timu zao. Leo tunaangazia rekodi za makipa ndani ya Bongo ambapo pasi zao zilikuwa chachu ya ushindi kwenye mechi ambazo walicheza katika mashindano tofauti:- Nurdin Barola Msimu wa 2020/21, Septemba 6,2020…
MWINYI Zahera, aliyekuwa kocha msaidizi ndani ya timu ya taifa ya DR Congo amesema kuwa matokeo ya mchezo wa leo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia kati ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars dhidi ya DR Congo ni 50/50 kutokana na hesabu za timu zote mbili. Mchezo wa kwanza walipokutana nchini DR…
NAFASI ya Tanzania kuhusu kufuzu Kombe la Dunia kweda Hatua ya Play off naiona ni 50/ 50 yaani lolote linaweza kutokea kwenye mpira maana hawako katika nafasi nzuri sana wala mbaya kwenye msimamo wa kundi J. Ikumbukwe kwamba kwa sasa Tanzania ni kinara wa kundi hilo akijikusanyia pointi 7 kwenye mechi 4 ambazo amekwishacheza mpaka…
KOCHA mkuu wa RS Berkane ya nchini Morroco, Florent Ibenge amesema kuwa klabu ya Simba imepata moja kati ya makocha wakubwa ambao wamepata uzoefu katika timu kubwa jambo ambalo anaamini litaisaidia timu hiyo kufanya vizuri. Ibenge aliwahi kuhusishwa kujiunga na Simba kabla ya timu hiyo kumshusha Didier Gomes msimu uliopita wakati kocha huyo akiwa anaifundisha…
Timu za Taifa kuendelea na michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022. Mashirikisho ya soka kwenye mabara yote Duniani kushuhudia timu zao viwanjani. Nani ni nani? Karata yako ya ushindi unaiweka kwa nani kati ya hawa; Kupitia shirikisho la soka barani Afrika (CAF), Tanzania kupambana na DR Congo alhamisi hii. Taifa Stars…
SIMULIZI ya aliyeibiwa Ng’ombe wawili kisha akawapata ipo namna hii:- Ama kwa hakika kila mtu anapaswa kuheshimu mali ya mwenzake kwa vyovyote vile kwani ndio undugu unaohitajika. Kwa jina ni Simon kutoka kaunti ya Vihiga. Nilikuwa mfanyibishara haswa wa kilimo. Nilikuwa na Ng’ombe wawili wa maziwa ambao nilikuwa Napata faida nyingi kutokana na uuzaji wa…
WACHEZAJI wa Azam FC wameendelea na maandalizi ya mechi zao zijazo za Ligi Kuu Bara na chimbo lao likiwa ni palepale katika Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu, George Lwandamina katika mechi tano ambazo ni dakika 450 imekusanya pointi 7 ipo nafasi ya nane na safu yake ya ushambuliaji imetupia…
WAKATI wengi wakisema ujio wa kocha mpya wa Simba, Pablo Franco utakuwa ni changamoto kubwa kwa Yanga kutokana na wasifu mkubwa alionao, lakini uongozi wa Yanga wala hauna presha wakimuamini kocha wao, Nasreddine Nabi. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu Simba imtangaze kocha huyo raia wa Hispania aliyekuja kuchukua nafasi ya Mfaransa, Didier Gomes na jana Novemba 10 aliwasili Dar kwa ajili ya kuanza kufanya kazi kwenye benchi…
BEKI wa kimataifa wa Simba, raia wa DR Congo, Enock Inonga kabla ya kwenda kuungana na kikosi cha timu yake ya Taifa ya DR Congo, alilazimika kumuomba radhi Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez na viongozi wengine, kufuatia kosa la kadi nyekundu aliyopata dhidi ya Coastal Union. Inonga kwa sasa yupo kambini na timu yake ya Taifa ya DR Congo, kwa ajili…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi, nakala yake ni 500
YACOUBA Songne, mshambuliaji wa kikosi cha Yanga raia wa Burkina Faso, amepelekwa nchini Tunisia kwa ajili ya matibabu kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Ruvu Shooting. Songne anaesumbuliwa na jeraha la goti huenda akawa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi mitatu kutokana na ukubwa wa jeraha hilo. Kwenye mchezo…
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Novemba 11 ikimaliza kazi mbele ya DR Congo, itaelekea Madagascar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo utakaopigwa Novemba 14, 2021 kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022, ambapo Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa ndege kuelekea mechi hiyo. Katibu Mkuu…