
VARANE KUZIKOSA MAN CITY, CHELSEA, ARSENAL
Beki wa kati Raphael Varane anatarajiwa kuukosa mchezo wa Manchester derby kwenye Uwanja wa Old Trafford, wikiendi hii kutokana na kuwa majeruhi. Varane alipata maumivu ya nyama za paja alipokuwa akiitumikia Manchester United ikicheza dhidi ya Atalanta katika Champions League, Jumanne ya wiki hii na imeelezwa kuwa atakuwa nje kwa mwezi mmoja. Hiyo inamaanisha Varate…