
BEKI SIMBA YAMKUTA HUKO
BEKI wa Simba, Henoc Baka amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kutokana na kitendo hicho beki huyo alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na kumfanya akose mchezo wa Simba uliofuata dhidi ya Namungo FC. Mbali na adhabu ya…