
HUKU MANCHESTER DERBY, KULE NI MILAN DERBY KUMENOGA VIWANJANI
Ni wakati wa kutengeneza faida kupitia michezo ya soka inayoendelea wikiendi hii. Hakika, hii ni wikiendi ya vita za majirani. Jiji la Manchester na jiji la Milan kutoa burudani ya wikiendi hii. Meridianbet hatukuachi nyuma, huku kwetu mpango wa wikiendi upo hivi; Ijumaa tutakata utepe wa wiki ya 11 kwenye EPL kwa mtanange wa…