
RONALDO :KUKOSOLEWA NI SEHEMU YA KAZI
MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Cristiano Ronaldo amebainisha kwamba kukosolewa ni sehemu ya kazi jambo ambalo yeye hana mashaka nalo katika maisha yake ya kila siku. Nyota huyo amewapuuza wale ambao wamekuwa wakimkosoa kwa kudai kuwa amekuwa akilala vizuri licha ya mwendo mbovu wa matokea wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Ronaldo aliiongoza timu hiyo…