
STARS YATOSHANA NGUVU NA MADAGASCAR
TIMU ya taifa ya Tanzania leo Novemba 14 imelazimisha sare ya kufungana bao 1-1 mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Mchezo wa leo ulikuwa ni kuhitimisha ndani ya kundi J ambapo alikuwa anatafutwa mshindi kati ya Benin na DR Congo kuweza kutinga hatua ya mtoano na mwisho ni DR Congo…