
PABLO AZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA,CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumamosi
KIKOSI cha Simba leo Novemba 19 kimeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Kwenye mchezo wa leo ambao ulikuwa umegawanywa kwa vipindi viwili ofauti Simba ilikuwa bora kipindi cha kwanza na iliweza kufunga mabao yote matatu kupitia kwa Meddie Kagere dakika…
PABLO Franco, leo Novemba 19 anatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza ndani ya Ligi Kuu Bara na jeshi lake linatarajiwa kuwa namna hii:- Aishi Manula. Shomari Kapombe. Mohamed Hussein Joash Onyango Pascal Wawa Jonas Mkude Hassan Dilunga Mzamiru Yassin Meddie Kagere Kibu Dennis Morison Bernard
KIUNGO wa Yanga, Khalid Aucho ni miongoni mwa wachezaji ambao wataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Namungo FC. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ina kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi. Sababu kubwa ya nyotahuyo kukosa mchezo huo ni majeraha ambayo aliyapata kwenye mguu wa kulia…
BEKI wa Simba, Gadiel Michael amesema kuwa kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidiya Ruvu Shooting kutakuwa na mabadiliko kwa kuwa wachezaji wapo tayari licha ya ushindani kuwa mkubwa. Gadiel bado hajacheza ndani ya msimu wa 2021/22 kwa sasa katika mechi tano na nafas yake amekuwa akianza nyota Mohamed Hussein ambaye ni chaguo…
MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Bara,Vitalis Mayanga akiwa na mabao manne ametuma ujumbe kwa Coastal Union kuwa wanahitaji pointi tatu. Timu hizo zinatarajiwa kukutana leo Novemba 19 katika Uwanja wa Ushirika,Moshi mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Mayanga amesema kuwa mechi zao zote ambazo watacheza wanahitaji ushindi ili waweze kufikia malengo…
MILTON Nienov aliyekuwa kocha wa makipa ndani ya Simba ameweka wazi kuwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula atapata changamoto kubwa kutoka kwa kipa wa Yanga,Diarra Djigui. Nienov kwa sasa ameshachimbishwa ndani ya Simba ilikuwa ni Septemba 26 kwa kile kilichoelezwa ni makubaliano ya pande zote mbili. Nienov aliweka wazi kwamba anatambua ubora wa…
Baadhi ya mataifa yameshajihakikishia kucheza Kombe la Dunia mwakani. Wengine, wataendelea kujitafuta mwezi Machi mwakani. Ligi Soka barani Ulaya kuendelea wikiendi hii, karata ya ushindi inapatikana Meridianbet! Mkeka wako wikiendi hii, upambe kwa namna hii; Augsburg kuwaalika Bayern Munich katika muendelezo wa Bundesliga Ijumaa hii. Huu ni mchezo ambao unazalisha magoli ya kutosha. Lolote linaweza…
NYOTA wawili wa kikosi cha Simba Ibrahim Ajibu na Chris Mgalu wameondolewa kwenye kikosi hicho kinachojiaandaa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Leo Novemba 19, Pablo Franco anatarajia kukiongoza kikosi hicho kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting unaotarajiwa kuchezwa saa 10:00 jioni, Uwanja wa CCM Kirumba. Sababu za nyota hao kuondolewa…
SIMULIZI ya mzazi aliyekuwa kwenye uhusiano wa mashaka Kila mtu hutaka awe na uhusiano mzuri haswa na wazazi wake. Ama kwa hakika uhusiano mzuri na mzazi huwezesha mtu kupata Baraka kutoka kwa wazazi wale na hata mambo mengine kama kurithi mali yao kuwa rahisi kupata suluhu. Kwa jina ni Omolla kutoka katika kaunti ya Homa…
JOAN Laporta, rais wa Barcelona amebainisha kuwa jambo lolote linaweza kutokea kuhusu suala la Lionel Messi pamoja na Andre’s Iniesta kurejea ndani ya Camp Nou. Tayari Barcelona inayoshiriki La Liga imemrejesha staa wao wa zamani beki wa makombe Dani Alves ambaye alikuwa ni chaguo la Kocha Mkuu, Xavi Hernandez. Alves mwenye miaka 38 amesaini…
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga kwa sasa wapo ndani ya Ilulu, Lindi kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Novemba 20, Uwanja wa Ilulu na itakuwa ni mara ya kwanza kwa Yanga kukutana na Namungo kwenye uwanja huo…
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma gazeti la Championi Ijumaa
Chama aomba kurudi Bongo ndani ya Championi Ijumaa
“Tunategemea mchezo mgumu lakini tuko tayari kwa mchezo wa kesho. Tunajua ni mchezo muhimu na tutapambana ili tupate alama tatu,”- Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu Shooting. “Tunawaheshimu wapinzani wetu lakini tumejipanga kushinda. Naamini mtaona mabadiliko.”- Gadiel Michael.
MABONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Muksini Swalehe ‘Alkasusu’ na Cosmas Cheka wanatarajia kupanda ulingoni Desemba 3, mwaka huu katika pambano la usiku wa mishindo ambalo limepangwa kupigwa kwenye Uwanja wa Kinesi jijini Dar. Pambano hilo limetambulishwa leo kwenye mkutano wa waandishi wa habari uliofanyika kwenye Hoteli ya Atriums ambalo litashirikisha mabondia wengi, limeandaliwa…
KWENYE suala la kusaka ushindi uwanjani kuna wachezaji 11 ambao huwa wanapambana kwa ajili ya timu na ipo wazi ushindi unapatikana kwa ushirikiano wa kila mchezaji. Kwa habari ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kushindwa kupenya hatua ya mtoano wa Kombe la Dunia hiyo imeisha hakuna tutakachoweza kubadili zaidi ya maumivu. Tunajua kwamba…