
AZAM YAFUNGUKIA USAJILI WA SURE BOY YANGA
UONGOZI wa Azam FC umetoa kauli kuhusu tetesi za Kiungo wa klabu hiyo Salum Abubakar ‘Suare Boy’ kuhusishwa na mpango wa kuwa mbioni kusajiliwa ndani ya kikosi cha Yanga. ‘Sure Boy’ anayetumikia adhabu ya kusimamishwa kwa muda usiojulikana huko Azam Complex, anatajwa kuwa kwenye mpango wa kusajiliwa na Yanga wakati wa dirisha dogo la usajili,…