
BENZEMA APIGWA FAINI NA HUKUMU
MSHAMBULIAJI Real Madrid, Karim Benzema amepatikana na hatia katika kosa la kumtishia mchezaji mwenzake wa zamani kwenye timu ya taifa ya Ufaransa Mathieu Valbuena. Inaelezwa kuwa Benzema aliweza kumuingiza kwenye mtego mchezaji huyo kuhusu masuala ya video ya udhalilishaji jambo ambalo lilimfanya aweze kuripoti Polisi. Kwa kosa hilo Benzema atatumikia kifungo cha mwaka mmoja baada…