
AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA GEITA GOLD
VIVIER Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Yanga matokeo wamesahahu hivyo hesabu zao ni kupata ushindi mbele ya Geita Gold ambao nao wamebainisha kuwa wanahitaji ushindi. Azam FC imetoka kuambulia kichapo cha mabao 2-0 dhidi ya Yanga, kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa inatarajiwa kucheza…