
ISHU YA USAJILI AZAM FC IPO HIVI
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa masuala yote yanayohusu usajili yapo mikononi mwa benchi la ufundi hivyo wao wakitoa ripoti uongozi unafanya kazi ya kuwaleta wachezaji hao. Kwa msimu wa 2021/22 mabosi wa Azam FC wameshudia timu hiyo ikiwa kwenye mwendo wa kusuasa baada ya kucheza mechi sita imekusanya pointi saba na safu ya…