
SNURA AZINDUA EP YAKE, AMZUNGUMZIA SHILOLE
MALKIA wa Muziki wa Singeli Snura Mushi a.k.a Snura Majanga ameweka wazi kuwa bado hatamani wala kufikiria kumshirikisha Msanii mwenzake wa bongofleva Shilole. Akizungumza mara baada ya kutambulisha rasmi EP yake ambayo imebeba takribani nyimbo 5 ikiwemo Jini,naota,Kaliamsha, pamoja na Zaina Huku akisindikiza na Kaliamsha yenye maadhi ya Mtindo wa kisasa “Amapiano”. Hata hivyo Snura amefafanua…