
SIMBA MATUMAINI MAKUBWA NDANI YA LIGI KUU BARA
KOCHA msaidizi wa Simba, Hitimana Thiery amesema kuwa watarudi kwa nguvu zote kuhakikisha kuwa wanafanya vizuri katika michezo ya ligi kuu mara baada ya kumaliza ratiba yao ya michuano ya ligi ya Mabingwa. Simba mpaka sasa katika michezo ya ligi kuu imefanikiwa kucheza michezo miwili pekee dhidi ya Biashara United na Dodoma Jiji ambapo wamefanikiwa…