
MTIBWA WAANZA KUIWINDA RUVU
OFISA Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru, ameweka wazi juu ya maandalizi yao kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting utakaochezwa Januari 14, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mabati, Pwani. Mtibwa Sugar ikiwa na kumbukizi nzuri ya kutoka kuichapa Costal Union 1-0, inashika nafasi ya 13 kwenye msimamo wa Ligi Kuu…